Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura na akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza (kulia), akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment