Shirika lisilola kiserikali la Community Advisory Board latoa elimu ya Kifua Kikuu wa wanafunzi Bagamoyo | Tarimo Blog

Mwenyekiti wa Shirika lisilola kiserikali la Community Advisory Board (CAB), Sayed Abdul Hai  (wasaba kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi pamoja na walimu wa Shule ya Sekondari Dunda iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kuufahamu ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) wakati wa kuadhimisha siku ya ugonjwa wa Kifua Kikuu, yaliyoandaliwa na Ifakara Health Institute pamoja na Community Advisory Board (CAB) na kufannyika katika Shule hiyo ya Dunda, Bagamoyo, Machi 25, 2023. Katika mafunzo hayo, Wanafunzi Sita waliweza kushinda katika mashindano ya uchoraji (ugonjwa wa Kifua Kikuu) ambao walipewa zawadi ya pesa taslim kila moja.
Mwenyekiti wa Shirika lisilola kiserikali la Community Advisory Board (CAB), Sayed Abdul Hai (watatu kulia), Katibu wa Shirika hilo, Mikidadi Dhamiri (kushoto), Muwakilishi Ifakara Health Institute, Dk. Omari Juma (wanne kulia) pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekonndari Dunda, Mwalimu Nkwera (wapili kushoto). wakiwa katika  picha ya pamoja na washindi  sita walioongoza katika uchoraji juu ua. ufahamu wao wa ugonjwa wa Kifua Kikuu, yaliyofanyika katika Shule hiyo ya Dunda, Bagamoyo, Machi 25, 2023. 


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2