.jpeg)


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika wilaya 23 nchini baina ya TTCL na HUAWEI Tanzania leo Aprili 17 2023 jijini Dodoma. Kushoto wanaosaini mkataba ni Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Mhandisi Peter Ulanga na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa HUAWEI Tanzania Bw. Damon Zhang
.jpeg)
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akipokea maelezo ya dashibodi ya kufatilia utendaji wa vituo vyote vya Mkongo wa Taifa nchini alipowasili akiwa Mgeni rasmi katika hafla ya utiaji saini mkataba wa upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika wilaya 23 nchini baina ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI Tanzania leo Aprili 17, 2023 jijini Dodoma
.jpeg)
.jpeg)
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akiwasili katika hafla ya utiaji saini mkataba wa upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika wilaya 23 nchini baina ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI Tanzania leo Aprili 17, 2023 jijini Dodoma
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment