Familia yamtafuta ndugu yao aliyetoweka | Tarimo Blog

Ndugu MUSA Venerable Mziba umri 37 (pichani) ambaye ni mfanyabiashara na  anayemiliki kampuni ya Mzibaz Empire Investnents Ltd, ametoweka na hajulikani alipo tangu Desemba 7, 2023 saa mbili usiku, na inadaiwa kuwa mara ya mwisho alikuwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Familia tayari imesharipoti Jeshi la Polisi na kupewa KING/CID/PE 168/2023 Jalada la Uchunguzi 12.12.2023 DYB/RB/7972/2023 

Familia ya Mziba inaomba yeyote mwenye taarifa itakayowezesha kumpata ndugu yao awasilishe taarifa kwa Jeshi la Polisi au  awasiliane na familia kwa namba 0713437374 au 0683520687.

Mwenyezi Mungu abariki ndugu yetu Musa Mziba Apatikane akiwa salama.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2