Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara (kulia)akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Salum Pazzy (kushoto) kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo pamoja na lengo la kushiriki katika Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara (kulia) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Banda la Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Salum Pazzy
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment