Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara akizungumza jambo kwenye Banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) alipoambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi walipotembelea Banda la ATCL kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara pamoja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi wakipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa ATCL Margret Leslie walipotembelea Banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mussa Martine
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi akisaini akisaini kitabu katika banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) walipotembelea Banda la ATCL kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment