Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara akizungumza jambo kwenye Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipoambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi walipotembelea Banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara pamoja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mohamed Malick Salum kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo pamoja na kujibu maswali yaliyoulizwa na viongozi walipotembelea Banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara akipata maelezo kutoka kwa Afisa Sheria Mkuu kutoka TASAC Devotha Mandanda alipotembelea Banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara pamoja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi wakipata maelezo kutoka kwa Mfanyakazi wa TASAC, Conrad Shio walipotembelea Banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi akisaini kitabu katika Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Nahodha. Mussa Mandia mara baada ya kutembelea Banda la Shirika hilo kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Nahodha. Mussa Mandia mara baada ya kutembelea Banda la Shirika hilo kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment