TASAC YATOA ELIMU MAONESHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR | Tarimo Blog


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Martha Kelvin kuhusu kazi zinazofanywa a na Shirika hilo alipotembelea Banda la TASAC  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Martha Kelvin alipotembelea Banda la TASAC  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka Teophory Mbilinyi akisaini kitabu mara baada ya kupata maelezo kweye banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka Teophory Mbilinyi akipokea zawadi kutoka kwa Mwanasheria kutoka TASAC Devotha Mandanda mara baada ya kupata maelezo kweye banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Profesa Ulingeta Mbamba akisaini kitabu katika Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Mwanasheria kutoka TASAC Devotha Mandanda akitoa elimu kwa mwananchi aliyefika katika Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar. Katikati ni Mfanyakazi wa TASAC, Conrad Shio
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Martha Kelvin akitoa maelezo kwa mwananchi aliyetembelea Banda la TASAC  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2