RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BENKI YA TCB IKULU ZANZIBAR | Tarimo Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Mjumbe wa Bodi wa Benki hiyo Dr.Issack Allan (kulia kwa Rais) akimuwakilisha Mwenyeki Bodi ya Benki hiyo na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Juma Malik Akili, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kijitambulisha leo 13-1-2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024, walipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2