KUTOKA BODI YA MIKOPO-WALIOOMBA MKOPO WATANGAZIWA KUANGALIA MIKOPO YAO

Ad

Ads1
Bodi ya mikopo imewatangazia wanafunzi walioomba mkopo kwa Elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kuangalia mikopo yao.Unaweza kuangalia kwa kuweka namba yako ya kidato cha nne. Hii hapa link ya kutazama mkopo uliopata
http://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/olas/AllocationFreshers

Sponsor Ad

Ads2

Post a Comment

Previous Post Next Post