Hivi karibuni Profesa Patrick Loch Otieno (PLO) Lumumba, ambaye ni mzaliwa wa Kenya (1962), amesikika akimtaja Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kama miongoni mwa marais wachache sana barani Afrika wasiopenda rushwa.PLO Lumumba anasifika sana kwa jinsi ambavyo anapingana na rushwa katika nchi nyingi Afrika. Hii hapa video yake akimtaja Rais Magufuli.
Post a Comment