BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU (HESLB) YATANGAZA MSAKO WA WADAIWA SUGU

Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) imetangaza kwamba, msako wa wadaiwa sugu unategemea kuanza hivi karibuni.
Bodi ya mikopo imetoa taarifa kwamba itatangaza majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 ambao madeni yao yameiva.
Majina ya Wadaiwa sugu yatawekwa hadharani tarehe 13 Novemba, 2016.  Wasugu hao watapewa siku 30 kulipa madeni yao.  Baada ya muda huo, hatua za kisheria zitachukuliwa na wahusika watalipia gharama za kuwasaka.

Bodi imetoa namba kwa ajili ya mawasiliano ambazo ni 0763 459165 au 0767 513208

Taarifa hii imetolewa na
MKURUGENZI MTENDAJI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
03/11/2016
Kwa uhakika zaidi, tembelea hii link hapa chini
 http://www.heslb.go.tz/index.php/application-guidelines/227-msako-wa-wadaiwa-sugu-kuanza-karibuni

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2