Maofisa Waandamizi wa ABINBEV wafanya ziara ya kikazi viwanda vya TBL vya Dar es Salaam na Mbeya

ABINBEV MBEYA 2

Mkuu wa kitengo cha Ugavi wa kampuni ya ABINBEV kutoka makao makuu,Peter Kramer (wa kwanza  kushoto) na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusiana na utengenezaji bia kutoka kwa mtaalamu wa uzalishaji bia wa kiwanda cha TBL kilichopo Ilala  jijini Dar es Salaam,Mecky Mlay, (kulia) wakati ujumbe wa kampuni  hiyo ulipofanya ziara kiwandani hapo mwishoni mwa wiki kutathmini shughuli za uzalishaji.

ABINBEV MBEYA 3

Meneja wa kitengo cha ujazaji bia wa kiwanda cha TBL kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam,Patel Kilovela (Kulia) akiwapatia maelezo Maofisa Waandamizi wa kampuni ya ABINBEV kuhusiana na udhibiti wa ubora katika mchakato wa kujaza na kufunga bia wakati ujumbe wa kampuni hiyo ulipotembelea kiwandani hapo mwishoni mwa wiki.

DELAGATION ABINBEV 02

Maofisa Waandamizi kutoka  kampuni ya Tanzania Breweries na  ABINBEV wakibadilishana mawazo muda mfupi baada ya ziara ya  ya kutembelea kiwanda cha TBL kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ujumbe wa Maofisa wa ABINBEV uko nchini kwa ziara ya  kikazi na tathmini.

DELEGATION ABINBEV 01

Ujumbe wa Maofisa wa ABINBEV wakiwa  katika kiwanda cha TBL cha Mbeya

DELEGATION ABINBEV 03

Ujumbe wa Maofisa wa ABINBEV wakiwa  katika kiwanda cha TBL cha Mbeya


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2