WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA PAC, MASUALA YA UKIMWI NA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA WAPATIWA SEMINA ZA KUWAJENGEA UWEZO.

IMGL8756

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mheshimiwa Adadi Rajabu (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma. wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Nangenjwa kaboyoka, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka na Kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein

IMGL8758Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mheshimiwa Adadi Rajabu (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma. wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Nangenjwa kaboyoka, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka na Kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein IMGL8903

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Nangenjwa kaboyoka akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma. kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mheshimiwa Adadi Rajabu na Kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein

IMGL8717

Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein (aliesimama) akitoa maada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma. wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mheshimiwa Adadi Rajabu, wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Nangenjwa kaboyoka na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka

IMGL8782

Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa, Mary Muro akiuliza swali wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma.

IMGL8814

Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Bagamoyo, Mheshimiwa, Shukuru Kawambwa akiuliza swali wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma.

IMGL8824

Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa kilindi, Mheshimiwa, Omary kigua akiuliza swali wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma.

IMGL8883

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka (aliesimama)


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2