KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAVUTIWA NA UBUNIFU WA SHUGHULI ZA KITALII HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA

 

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Allan
Kijazi akizungumza kwenye kikao cha  wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Mazingira iliyofanya ziara ya kikazi kwenye Hifadhi ya Taifa
Ziwa Manyara mkoa wa Arusha,kulia ni
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga.

 

Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence Millanzi akizungumza
kwenye kikao na kamati hiyo,kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Japhet Hasunga na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo,Kemilembe Lwota
akifatilia kwa makini.

 

Mbunge
wa jimbo la Sumve mkoa wa Mwanza,Richard Ndassa(kushoto),Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii,Japhet Hasunga(katikati) na Meneja Mawasiliano wa Tanapa,Pascal
Shelutete wakiwa ndani ya Hifadhi hiyo.

 

Meneja Ujirani Mwema wa Tanapa,Hemed Mbugi akitembea juu ya
daraja linalo ‘bembea’ ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje na ndani.

 

Mbunge
wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi  akifurahia
daraja linalo ‘bembea’ ambalo ni moja
kivutio kwa watalii wa nje ya nchi na ndani.

 

Makamu
Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Kemilembe Lwota  akitembea juu ya daraja hilo.

 

Meneja
Mawasiliano wa  Tanapa,Pascal Shelutete
naye hakua nyuma kutembea juu ya daraja hilo ambalo limeongeza shughuli za
utalii kwenye hifadhi hiyo.

 

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Mazingira wakiwa juu ya daraja maalumu lililojengwa kuwawezesha watalii kuwaona
wanyama aina ya Viboko na aina mbalimbali za ndege.

 

Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga akifurahia mandhari ya
daraja linalomwezesha mtalii kuona vizuri eneo la Ziwa Manyara.

SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2