Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akiongoza shughuli ya
kuteketeza nyavu haramu zenye thamani ya zaidi shilling milioni 100,a
zilizo salimishwa na zilizokamatwa katika kisiwa cha Kerebe mkoa wa
Kagera jana.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi
wanaoishi katika kisiwa cha Kerebe mkoa wa Kagera, juu ya kutumia zana
sahihi za uvuvi na kuacha kutumia zana haramu.
Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akishuka kwenye boti huku
akiwa ameambatana na viongozi wa kikosi maalum cha kupambana na uvuvi
haramu wakiwasiri katika kisiwa cha Kerebe mkoa wa Kagera kwa usafiri wa
boti.
Picha na Emmanuel Massaka.
SOMA ZAIDI
Post a Comment