VIDEO: Alikiba Amtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli nyumbani kwake wilaya ya Chato

Zamototz
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali kina akiwa na kundi wametembela hospital mbali mbali na kuwaona wagonjwa , Kwa kuwa walipita chato wakaamua kumuona mama Magufuli nyumbani kwake

Kijana alikiba ni miongoni mwa wanamuziki wanaofanya vizuri na wanaotambua kazi ya muziki na umuhimu wake

VIDEO:

From Udaku Special
Soma Zaidi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2