‘Msishangae sisi Kuwataja CHADEMA Hapa, Hao ndio Mashetani Wetu Hapa’-Wasira

Zamototz
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilifanya uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya Biafra kwa ajili ya kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia, miongoni mwa waliopanda katika jukwaa hilo ni  aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wasira,

Wasira ameeleza sababu kwa nini wanakitaja Chama cha CHADEMA katika mikutano yao na kusema chama hicho ndio shetani wao kwa hiyo lazima wakitaje. Pia akakumbushia hotuba ya Mgombea Urais wa  CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 na kusema ilikuwa fupi kuliko sala ya “Baba yetu uliye Mbinguni”
From Udaku Special
Soma Zaidi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2