Listen/Download Mapenzi Kitabu EP By Barnaba
EP (Extendend Play) maalum kwenye siku ya wapendanao toka kwa msanii Barnaba Classic ambayo imecontain ngoma 5.
EP hiyo imewashirikisha wasanii kama Winnie, Humble Prince, Ziddy Value, Nassy Bam. Imetengenezwa na Barnaba mwenyewe nikimaanisha upande wa Producer.
Unaweza kuisikiliza na ku download Nzima chini kabisa.
Pakua APP yetu ya GOSPEL MUSIC BOFYA HAPA
Post a Comment