Kazi ya ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa Machi 10, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patric Mfugale (mwenye kofia) wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa Machi 10, 2020. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa, Machi 10, 2020. Wa tatu kushoto ni mkewe, Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Rota Sanare. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ujenzi wa ukuta wa kuzunguka makaburi ya wahanga wa moto katika eneo la Kolahill mjini Morogoro, Machi 10, 2020. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment