RAIS, DK SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE, IKULU ZANZIBAR, LEO | Tarimo Blog



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliyofanyika IkuluZanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kulia), alipokuwa akizungumza Ikulu Zanzibar, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kushoto) akimsikiliza Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu, alipokuwa anamuonyesha kiwanja kilichopo eneo la Mwanakwerekwe ambacho Ofisi za Uhamijai Mkoa wa Mjini Magharibi zitajengwa hivi karibuni.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akimsikiliza Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Hassan Haji alipokuwa jengo la Kituo cha Polisi Chukwani, Mkoani Mjini Magharibi ambacho kipo hatua ya mwisho kukamilika.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2