Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na salimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kulia) na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
Wasanii wa Shirikisho kutoka Kisiwani Pemba wakionesha Igizo la “Ndoto Yangu” katika mkutano na Wasanii wa Zanziba uliotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo,
Wasanii wakongwe wakisimama wakati wa kutambulishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Mkutano na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali walioalikwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wasanii mbali mbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika leo ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (kushoto) Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,na Msauri wa Rais mambo ya Utamaduni na Michezo Bw.Chimbeni Kheir Chimbeni(katikati),
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizunmza na wasanii hao katika mkutano maalum uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wasaniii wa kikundi cha sanaa waliomkaribisha leo kwa ngoma ya kibati mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (katikati) Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment