Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.
Wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujielezakiutamaduni wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hiileo Machi 10 jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa kamati ya uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (kulia) akipokea cheti toka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe Wakati wa ufunguzzi wa kikao kazi cha uandaaji taarifa hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kitaifa wa Mkataba wa UNESCO, Robert Mwampamba akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dares Salaam.
Mkurugenza wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Emanuel Temu akisisitiza jambo kwa wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam. Picha na WHUSM –Dar es Salaam
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment