KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MAKUMBUSHO | Tarimo Blog

Konda wa daladala ya Makumbusho Gerezani akihakikisha abilia wote wamepata vitakasa mikono kabla ya kuingia ndani ya daladala hiyo  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam leo wakiwa katika Kituo cha daladala Makumbusho kuelekea maeneo mbalimbali huku wakiwa wamevaa Barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.
Wananchi wa jiji Dar es salaam leo wakiwa ndani ya daladala wakiwa wamevaa  Barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.
(Picha zote na  Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2