Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Mashine hiyo itatumiwa na Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na Wageni maalum watakaotembelea Bunge
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Mbunge wa Korogwe na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Mary Chatanda akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mkuu wa Idara ya Mauzo na Masoko kutoka Taifa Gas Tanzania Limited, Ndg. Domician Mkama akitoa maelezo jinsi ya kupita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona mbele ya viongozi wa Bunge katika geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Wanne kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia), Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watano kulia), Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Fakhria Shomari (kushoto) na Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali watu, Ndg. Jane Kajiru (wa pili kulia)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhiwa mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Mashine hiyo ilitolewa na Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited ambapo itatumiwa na Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na Wageni maalum watakaotembelea Bunge
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment