KOKA AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA KIBAHA MJINI | Tarimo Blog










NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 

ZOEZI la kura za maoni Jimbo la Kibaha Mjini ambapo msimamizi alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga. 

Katika zoezi hilo ,Silvestry Koka ameibuka mshindi kwa kupata kura 286,Habib Mchange kura 66 na watatu ni Alawi aliyepata kura 88 ,ambapo wapiga kura ni 523 ,wapiga kura halali 522,kura iliyoharibika ni moja ….

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2