Meneja masoko kutoka M-bet Allen Mushi akitoa zawadi mbalimbali kama Smart Tv na ving'amuzi jijini Dar es Salaam leo.
Meneja masoko kutoka M-bet Allen Mushi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kukabidhi zawadi kwa wateja wao.
Meneja masoko kutoka M-bet Allen Mushi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kukabidhi zawadi kwa wateja wao.
Na Al Hassan Muhidin, Michuzi Tv
M-Bet kwa kushirikiana na Kampuni ya kutoa huduma ya matangazo ya runinga ya StarTimes nchini Tanzania, leo imezindua promosheni ya kutoa zawadi za Smart Tv, vingamuzi na vifurushi mbali mbali kwa wateja watakao bashiri na M-bet promosheni hio itajulikana kama Cheza na M-bet , shinda na Star times.
Akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam baada ya hafla ya uzinduzi huo Meneja masoko kutoka M-bet Allen Mushi, amesema kuwa shindano hilo linalenga kuwa zawadia wateja wote wa M-bet Tanzania watakao jisajili na kubashiri kwa M-bet.
M-Bet inaendelea kutoa washindi mbali mbali katika michezo ya kubashiri kwa mtandao.
M-Bet inaendelea kutoa washindi mbali mbali katika michezo ya kubashiri kwa mtandao.
Kwa upande wa Star Times, Meneja Masoko, David Malisa amesemaKampuni hiyo ya StarTimes ni moja wapo ya makampuni makubwa zaidi ya kutoa huduma ya matangazo ya runinga nchini Tanzania, hususani katika ungwe ya michezo kwa kuonesha ligi mbali mbali kama La Liga na Bundesliga.. Ushirikiano na M-bet ni endelevu katika kutoa burudani kwa watanzania wote.
Shindano hilo litakuwa likitoa zawadi hizi kila wiki, mteja anachohitajika kufanya ni kusijali na kucheza na M-bet kwa tovuti ya M-bet.co.tz
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment