Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipomtambulisha Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mkutano wa kumtambulisha uliofanyika leo viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mkutano wa kumtambulisha uliofanyika leo viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment