MTAANI KWETU NDANI YA TEMEKE JIJINI DAR, BEI ZA VITU MBALIMBALI | Tarimo Blog

 Bei ya fungu la Mihongo ni shilingi 500 katika soko la Tandika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, kama unavyoonekana pichani.
Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi tv
 Bei ya Viungo mbalimbali katika soko la Tandika wilay ya Temeke jijini Dar es Salaam kama unavyoonekana pichani.
Bei ya  Machungwa shilingi 50  katika soko la Tandika  wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2