KUTOKA MATAANI KWETU WAHUSIKA HAMLIONI HILI | Tarimo Blog

Mfanyabiashara wa Kuku akiendelea na biashara yake huku pembeni kukiwa na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mbagala wilaya ya Temeke  jijini Dar as Salaam,jambo ambalo ni hatari kwa afya ya
walaji.Wananchi wanaaswa kutunza mazingira yao na kuwa safi kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababishwa na uchafu. 
Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Maandalizi ya biashara ndogondogo yakiendelea katika eneo la Mbagala   Wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam, Kama inavyoonekana pichani.





  Muonekano wa mtaro wa maji machafu katika eneo la Mbagala wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam.
(Picha zote na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2