MATOKENI YA KIDATO CHA SITA: Shule ya Serikali ya Kisimiri ya jijini Arusha yaongoza | Tarimo Blog

BARAZA la Mitihani la Taifa nchini (NECTA) leo Agosti 21, limetangaza matokeo ya kidato cha sita huku ufaulu ukiongezeka ukilinganisha na mwaka uliopita.

Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar leo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema kuwa, shule za Serikali zimefaulu zaidi kuliko shule binafsi ambapo shule nane bora kati ya kumi ni shule za Serikali.

Shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni shule ya Serikali ya Kisimiri ya jijini Arusha, ikifuatiwa na Kembos ya Mara na  na Ahmes, Pwani.

BOFYA HAPA KUONA MATOKEA ZAIDI

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2