Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Chemba, Mohammed Moni, katika kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba , kwenye mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba , katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba, baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment