MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM WILAYANI KIGAMBONI | Tarimo Blog



Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es salaam  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema leo Septemba 08,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni  Jijini Dar es salaam wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Uiwanja vya Zamani wa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mji Mwwema Dar es salaam leo Septemba 08,2020.
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Kadawi Lucas Limbu akirudisha kadi iliyokuwa yake ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuamua kukihama Chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM  leo Septemba 08,2020 kwenye  mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema Jijini Dar es salaam.                                      
  
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa kikundi cha Mama Ongea na Mwanao alipowasili Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 08,202.                             
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2