MGOMBEA MWENZA WA CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA WAKATI WA KAMPENI ZAKE | Tarimo Blog

 


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Irkiushiobr na kijiji cha Simanjiro alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Vijijini Mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 28,2020.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)






Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2