MNEC ASAS ATINGA RUVUMA,AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NAMTUMBO VITA KAWAWA | Tarimo Blog


 Mnec wa Iringa ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Ndg Salim Abri (Asas) hii leo ametembelea Jimbo la Namtumbo Mkoani Ruvuma na kumnadi Ndg Vita Kawawa (kulia)  Mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Mh John Pombe Magufuli ambapo pia amewaomba wananchi kumpa kupiga kura zote kwa CCM kwa ngazi zote yaani Diwani, Mbunge na Rais.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2