Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia(FFU)mkoani Ruvuma wakifanya mazoezi maalum wa kukimbia kuzunguka mitaa mbalimbali katika Manispaa ya Songea ikiwa ni kujiweka tayari kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Baadhi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU mkoani Ruvuma wakiwa katika gari la washawasha baada ya kumaliza mazoezi ya kukimbia umbali wa km 50 kuzunguka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Songea jana ikiwa ni maandalizi ya kukabilianana matukio yoyote ya uharifu katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Picha na Muhidin Amri
Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi Simon Maigwa katikati akifanya mazoezi na baadhi ya askari na maafisa wa Polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia jana ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka tayari kukabiliana na vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi mkuu.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment