Maafisa wa RITA wakiwa wanatoa huduma kwa wananchi waliojitokeza katika banda hilo kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwenye kampeni ya 1stop huduma Katika eo katika Viwanja vya Zakhem Mbagala wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)Afisa usajili RITA,Mariam linga'nde(kulia) akimwelekeza wananchi namna ya kujaza fomu ya cheti cha kuzaliwa leo katika kampeni 1stop huduma mwenye viwanja vya Zakhem wilaya Temeke jijini Dar es Salaam.Wananchi wakiwa kwenye foleni katika bada la RITA.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment