IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’ NA SIMON NGOMA WATAMBULISHA MPAMBANO WAO WA NOVEMBA 27 PTA | Tarimo Blog

 

Promota Ernest Evarast kutoka kampuni ya Mopao katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Simon Ngoma kutoka Zambia kushoto na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa GBC utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam novemba 27

Mabondia pamoja na makocha wao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutambulisha mpambano wao wa novemba 27 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kulia bondia Simon Ngoma kocha wake Antoni Mwaba Kocha wa wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Tanzania Rajabu Mhamila ‘Super D’ Bondia Ibrahimu Class King Class Mawe Dkt Hadija Hamisi Promota Everist Ernes na Ubwa Salumu 

************************************** 


NA MWANDISHI WETU 


BONDIA Ibrahimu class ‘King Class Mawe’ amekutanishwa uso kwa uso na mpinzani wake Simon Ngoma kutoka Zambia ambaye alikuja kusaini mkataba wa kuzipiga Novemba 27 katika ukumbi wa PTA Sabasaba 


akizungumzia mpambano huo Class amesema kuwa yeye yupo fit ata kwa sasaivi kwa kuwa moto wake bado aujazimika unajua hivi karibuni nimetoka kucheza mchezo na Nassibu Ramadhani na nikafanikiwa kumtwanga bila huruma hivyo na huyu nampiga kama bag naomba watanzania wani sapoti kwa hali na mali na sito wahangusha 


ata hivyo naomba wadhamini wajitokeze kwa wingi kwani kwa sasa mchezo wa ngumi unaonekana live katika Luninga na umekuwa kwa kira hidara hivyo wadhamini mjitokeze kupromoti mpambano wa masumbwi nchini usonge mbele 


nae Simoni Ngoma kutoka Zambia amesema kuwa kati ya Tanzania na Zambia ni ndugu hila kwa hili udugu utakaa pembeni na nitamtwanga bila huruma Class 


nae promota wa mpambano huo Evarist Elnest aliongeza kwa kusema kuwa mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine yenye upinzani zaidi ya hiro ambapo bondia Said Chino atapambana na Haidari Mchanjo na Abdi Kivu atapigana na Maisha Samsoni 


ameomba mashabiki kujitokeza kwa wingi ili waujaze ukumbi pia ameomba wadhamini wajitokeze kwa wingi kwani nafasi zipo kwa ajili ya udhamini na mpambano bodo tuna utangaza nae kocha wa bondia Class Kocha wa Kimataifa Rajabu Mhamila ‘Super D’ amesema kuwa sasa class yupo vizuri na tunaitaji kumbadilisha kidogo katika upiganaji wake ili arete furaha kwa nchi ya Tanzania unajua amebeba watanzania wote watakuwa wanamuangalia Dunia nzima kwa njia mbalimbali hivyo tunategemea ushindi wa mapema alisema Super D


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2