MGOMBEA MWENZA URAIS CCM MHE.SAMIA SULUHU AKUTANA NA WASANII | Tarimo Blog




Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa Bongo Flavour Ali Kiba na Asley walipomtembelea kwenye Ikulu ndogo ya Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 07,2020. Makamu wa Rais yupo Mkoani Katavi akiendelea na ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM. Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wasanii wa Bongo Flavour waliongozwa na Mkongwe na musiki huo Ali Kiba walipomtembelea kwenye Ikulu ndogo ya Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 07,2020. Makamu wa Rais yupo Mkoani Katavi akiendelea na ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM. Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Picha ya pamoja na Wasanii wa Bongo Flavour waliongozwa na Mkongwe na musiki huo Ali Kiba walipomtembelea kwenye Ikulu ndogo ya Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 07,2020. Maakamu wa Rais yupo Mkoani Katavi akiendelea na ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2