SAMIA SULUHU AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI WANANCHI WA JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI | Tarimo Blog

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM  2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Iramba Magharibi Mhe. Mwigulu Nchemba kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika wa Shule ya Msingi Kiomboi Bomani Wilaya Iramba Mkoani Singida leo Octoba 02,2020.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kiomboi Magharibi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kiomboi Bomani Wilaya Iramba Mkoni Singida leo Octoba 02,2020.

Wasanii wa Kikundi cha Wasanii wa Palanjo Brathers kinachoongozwa na Wasanii Emmanuel Palanjo, Zakayo Palanjo na Marco Palanjo cha Meru wakitoa Burudani kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kiomboi Bomani Wilaya Iramba Mkoani Singida leo Octoba 02,2020 ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Wananchi wa Jimbo la Iramba Magharibi.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wasanii wa Kikundi cha Palanjo Brathers kinachoongozwa na Wasanii Emmanuel Palanjo, Zakayo Palanjo na Marco Palanjo cha Meru baada ya kutoa Burudani kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kiomboi Bomani Wilaya Iramba Mkoani Singida leo Octoba 02,2020.  Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2