Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi(wa pili kushoto) akimkabidhi Tuzo za kutambua mchango wa Tasnia ya habari kwa kampuni hiyo, wawakilishi wa TBC, Angela Mang’enya na Gloria Michael wakati wa hafla ya kuzindua maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania jana. Wengine ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi(wa pili kushoto) akimkabidhi Tuzo za kutambua mchango wa Tasnia ya habari kwa kampuni hiyo, mwakilishi wa Gazeti la The Guardian, Frank Monyo wakati wa hafla ya kuzindua maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania. Wengine ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kushoto) na Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumzia safari ya Vodacom toka kuanzishwa kwake nchini kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania leo
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment