Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe Abdelilah Benryane (kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ambapo pia Balozi alimpongeza Rais kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu uliopita.[Picha na Ikulu] 18/11/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe Abdelilah Benryane (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/11/2020.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment