RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AHUTUBIA BAADA YA KUWAAPISHA MAWAZIRI VIWANJA VYA IKULU LEO | Tarimo Blog

 

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akihutubia baada ya kumaliza
kuwaapisha Mawaziri aliowachagua hivi katika, wakati wa hafla hiyo
iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020 na
kutowqa nasaha zake kwa Viongozi aliowaapisha leo.(Picha na Ikulu) WAHESHIMIWA Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk. Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Mawaziri
katika viwanja vya  Ikulu Jijini Zanzibar leo.(Picha na Ikulu)

WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia

hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha
Mawaziri katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020.(Picha
na Ikulu)BAADHI ya Viongozi wa Dini mbalimbali Jijini Zanzibar
wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri  katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar leo 21/11/2020.(Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2