RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hospitali Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar akiwa katika ziara yake ya kushtukiza leo 18/11/2020,
kuangalia hali halisi ya Hospitali hiyo na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis
Mustafa.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Huduma Ufundi wa Hospitali
ya Mnazi Mmoja Zanzibar Eng.Mathna Kassim, alipotembelea chumba cha MRI
katika hospitali hiyo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana
18/11/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza leo , kujionea hali halisi
ya utendaji kazi katika hospitali hiyo. (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi
Uunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Haji Nyonje na (kulia kwa Rais)
Dk. Khamis Mustafa, wakati akitembelea sehemu ya mapokezi ya Wagonjwa
katika Hospitali hiyo leo 18/11/2020.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari wa Macho katika hospitali ya
Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Dk. Slim Mgeni akitowa maelezo wakati wa
ziara yake alipotembelea Kitengo cha Macho katika Hospitali hiyo leo
18/11/2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodi hiyo wakati wa
ziara yake katika hospitali hiyo leo 18/11/2020.(Picha na Ikulu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment