TAARIFA KWA UMMA: DAWASA TABATA YAHAMIA OFISI MPYA | Tarimo Blog

 

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawataarifu umma na wateja wake kuwa, ofisi ya Mkoa wa kihuduma DAWASA Tabata iliyokuwa Tabata Shule  sasa imehamia eneo la Tabata Segerea (Chama).

Hivyo kuanzia leo tarehe 16.11.2020 huduma zote kwa wateja wa DAWASA  zitatolewa katika ofisi hiyo mpya.
 
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au 0736 451867 huduma kwa wateja DAWASA Tabata.

#Dawasa tunawafikia

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2