Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdulla Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, Mwanasheria
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo ya
kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali
Maulid, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala
(Mabodi) na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zito Kabwe,
wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati hiyo iliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Saharif Hamad, baada ya kumuapisha
hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya Kiapo Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumuapisha
hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif
Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi)
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada
ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,
iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo
8/12/2020.(Picha na Ikulu.)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment