TAARIFA: MAONESHO YA TANO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA KUFUNGWA KESHO | Tarimo Blog




 MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwakaribisha wananchi wote kwenye hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania itakayofanyika kesho tarehe 9 Desemba, 2020 kwenye ukumbi wa Saba Saba uliomo ndani ya Uwanja wa Maonesho wa Mwl.J.K.Nyerere (al maarufu Sabasaba,) Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.

Hafla hiyo itaanza saa tano kamili asubuhi. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe Hemed Suleiman Abdulla Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Wote mnakaribishwa.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2