![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgEJZsBFGIi6Inxv9pU8p9snk6a5PmopPk9Vpge8wzMqGz3fbGAtphCjyoGQvnya96XzquPB32ih7ZxtSI7IBMJpxoQn5YwdgeyY_bmEOLytO39uE4lMgJx8dD8kJuKJ7c1xqVDufFTpA/w640-h429/DSC_1300.jpg)
Washindi wa kwanza wa tuzo zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam..
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Vallery Chamulungu (Katikati) akiwa ameshika tuzo hiyo wakati washindi wa kwanza katika vipengele mbalimbali walipopata picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Timu ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) kwa pamoja wakifurahia tuzo hoyo.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment