Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kibona, Kata ya Kanoni, wilaya Karagwe alipokuwa katika ziara ya kikazi jimboni ambayo imeanza Januari 02, 2021 na imekuwa na malengo ya kutoa shukrani kwa wananchi kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi uliofanyika Octoba 28, 2020, Kusikiliza na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali lakini pia kukagua miradi ya maendeleo katika kata husika. (Picha zote na Eliud Rwechungura)
Wananchi wa kijiji cha Kibona, Kata ya Kanoni, wilaya Karagwe wakimusikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa wakati akitoa shukrani kwa wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili kuwa Mbunge wa jimbo la karagwe katika ziara ya kikazi jimboni ambayo imeanza Januari 02, 2021 na imekuwa na malengo ya kutoa shukrani kwa wananchi, Kusikiliza na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali lakini pia kukagua miradi ya maendeleo katika kata hiyo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa akijibu maswali na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa kata ya Kanoni, willaya ya karagwe katika mkutano uliokuwa na malengo ya kutoa shukrani kwa wananchi, Kusikiliza na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali lakini pia kukagua miradi ya maendeleo katika kata hiyo hasa katika kijiji cha Kibona, kata ya Kanoni Wilaya ya Karagwe, Januari 02,2020
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa akiwa ameambatana na wananchi wa kata ya Kanoni kukagua eneo la ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha kibona katika ziara iliyokuwa na malengo ya kutoa shukrani kwa wananchi, Kusikiliza na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali lakini pia kukagua miradi ya maendeleo hasa katika kijiji cha Kibona, kata ya Kanoni Wilaya ya Karagwe, Januari 02,2020
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment