DAGAA ZAGOMA KWENDA SAWA NA MWEZI JANUARI | Tarimo Blog

Kitoweo pendwa hasa kipindi hiki cha mwanzo wa Mwaka ni Dagaa ambazo hutumiwa kama mboga kuu ukiachana na Kabichi na sukuma wiki, zikiwa sokoni Kariakoo jijini Dar es salaam na gharama zake zinaoneokana hapo katika kila meza kwa ujazo wa kilo moja na utofauti wa ubora na sehemu zinakotoka.  (Picha na Emmanuel Massaka, Michizi Tv)
Wajasiriamali wa bidhaa mbalimbali wakiwa kando ya mitaa ya Soko Kuu la kariakoo jijini Dar es salaam wakiwahudumia wateja kama wanavyooneka pichani.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2